KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,143
- 40,910
JF ya miaka hii si kama ile ya zamani........
Good idea, maana akileta udaku JF watamdai picha. Utamchomea ribs za mbuzi (my favourite) ili alete picha yako ukiwa na apron ukifanya mambo yako ya barbecue.good idea aje na camera akitaka..
Uje uwatoe kwenye udaku ili tuanze kuwajua
Wakuu nimejitahidi kufikiri juu ya hii dhana cjapata majibu, hivi what is the source ya mapenzi baina ya ke na me
Wala huhitaji udaku, ukitaka kutujua tutakualika dinner one of these days.
Au unasemaje my cucumis The Boss?
good idea aje na camera akitaka..
Hii iliwahi kutoka kwenye live streaming...
Hebu nipeni huo mualiko ni wapi na ni lini nianze kujiandaa.....lol
Tunaenda kwanza Bahamas..tukirudi..we jiandae..
Wakuu nimejitahidi kufikiri juu ya hii dhana cjapata majibu, hivi what is the source ya mapenzi baina ya ke na me