Mapenzi tuambizaneni

afu anaeleweka kama una nia ya kumsaidia


mtoto usipoteze bikira yako bure, iweke mpaka ndoa ,siku hizi ni zawadi adimu.
tafuta maisha,siku hizi mwanamke mwenye cash anaheshimika sana katika ndoa plus bikira,, haki amungu walahi,upewe nini
Asipoteze wakati kashakwambia "mala"" tatu....tatizo hapo n maumivu nenda kapime UTI ulete mrejesho...
 
 
We nawe kama sio kiazi unaingiaje ndani kwa mwaname?
Usingeenda kabisa jinga kubwa wewe.
Hakuna ukaribu kati ya mwanaume na mwanamke hilo tunalisema sana kwa sababu tunajua possible outcomes.
Next time ujifunze kutokana na makosa yako.
 
daaah huu mwandiko hata Muhitimu wa MEMKWA haandiki hivi
 
Cijaambulia kitu kw kwel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…