Sawa lakini huwa mnatoa wapi nguvu za kudharau wanaume ambao wanapambana kusaka pesa wakati nyie wenyewe hamna kitu chochote?Ukizaliwa mwanamke Kuna ka upendeleo fulani hivi katika mahangaiko ya kutafuta maisha, miili yetu ilivyo laini na ndivyo nature inatupunguzia maumivu ktk utafutaji, tangu enzi za kale wanawake walipigana vikumbo kuwa na wanaume wenye nyadhifa, wafalme, mitume na manabii ili kuokoa jamii zao,
Sema siku hizi imezidi lakini huo ndio uhalisia
Hapo Sasa ni ukosefu wa adabu, ila mwanamke kumuwinda mwanaume mwenye wadhifa Ni ishu ipo toka enzi hizoSawa lakini huwa mnatoa wapi nguvu za kudharau wanaume ambao wanapambana kusaka pesa wakati nyie wenyewe hamna kitu chochote?
Na uJiandae nyeti zako kua za moto muda wote, mwisho wa siku unakongoroka mapema tu.Yaani iko hivi hela zetu tunatafuta na zenu tunazitaka pia.
Nikiwa na 20,000 haimaanishi 2,000 yako siitaki.
Naitaka vizuri ili niwe na 22,000
Ukweli ndio huo, na tutaendelea kuzitaka hata mwisho wa dahari.Yaani iko hivi hela zetu tunatafuta na zenu tunazitaka pia.
Nikiwa na 20,000 haimaanishi 2,000 yako siitaki.
Naitaka vizuri ili niwe na 22,000
Tukisema tuapply 50/50 mnayo ipigania kila siku, hapo kwa mujibu wa harakati zenu kila mtu anapata 11,000.Yaani iko hivi hela zetu tunatafuta na zenu tunazitaka pia.
Nikiwa na 20,000 haimaanishi 2,000 yako siitaki.
Naitaka vizuri ili niwe na 22,000
Sauti kama haitoshiYaani iko hivi hela zetu tunatafuta na zenu tunazitaka pia.
Nikiwa na 20,000 haimaanishi 2,000 yako siitaki.
Naitaka vizuri ili niwe na 22,000
Kumtunza ni jukumu la mwanaume lakini siyo wageuze mahusiano kama chanzo cha kipato chaoWanaishia huku, ila naamini mwanaume halisi lazima amlee mwanamke aiseee. Siiamini haya mambo ya 50/50
View attachment 1979412
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume toa pesa ila kauli mbiu MPLEKEE MOTO WE MPELEKEE MOTO
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app