Mapenzi Sio Pesa

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,065
Mapenzi yamtoa msichana anayetoka kwenye familia ya kitajiri ya kihindi na kwenda kuishi maisha ya walalahoi kijijini Kenya! Binti huyo anayeitwa Sarika bila kujari Mila za kihindi amesema roho yake imetulia kwa bwana Timothy ambaye Anatokea kwenye familia ya walalahoi nchini Kenya.

Cc, Miss chagga.
 
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu
 
Sioni ajabu,Muhindi mwenyewe huyu hata Punjab hakujui
 
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu

na pia they are yet to realize that money cant buy happiness
 
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu

Hata ukiingia Bar wanaokunywa Heineken ni malofa ili kuwaaminisha watu hawana shida.
 
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu

Lakini huyo katoka maisha ya kitajiri sasa anaishi kimaskini mkuu, what's the different? Na akirudi India watamuua au asirudi tena Kenya.
 
Lakini huyo katoka maisha ya kitajiri sasa anaishi kimaskini mkuu, what's the different? Na akirudi India watamuua au asirudi tena Kenya.

Huyu kwake love ndo furaha hataki kingine
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha

Utamkandia lakini ndio ukweli anatoka kwenye familia yenye mkwanja mrefu story mpaka bbc! Kalagabao nkuku wa kuzonyole wazaramo wanasema.
 
Sana tu wanahangaika mno msichana hana kazi but ana Samsung galaxy ya laki saba...sasa si bora anunue cherehani ashone?
Mimi naamini robo tu ya Watanzania wangekuwa na akili na wanajuwa namna nzuri ya kufikiri maisha yetu yangekuwa mazuri sana.
 
Mimi naamini robo tu ya Watanzania wangekuwa na akili na wanajuwa namna nzuri ya kufikiri maisha yetu yangekuwa mazuri sana.

mno sasa watu hawana kazi but wanavaa nguo kutoka nje ya nchi si uchizi huo...
 
Can't buy me love, love
Can't buy me love
I'll buy you a diamond ring my friend
If it makes you feel all right
I'll get you anything my friend
If it makes you feel all right
'Cause I don't care too much for money
For money can't buy me love
I'll give you all I've got to give
If you say you love me too
I may not have a lot to give
But what I've got I'll give to you
I don't care too much for money
For money can't buy me love
Can't buy me love
Everybody tells me so
Can't buy me love
No no no, no
Say you don't need no diamond rings
And I'll be satisfied
Tell me that you want the kind of things
That money just can't buy
I don't care too much for money
Money can't buy me love

Can't buy me love, oh

Add song meaning

Not sure what to write? See example Example Song Meanings
Here is where you can write about what the highlighted lyrics are about and their meaning. An example would be...

"'Post code envy' describe the envious feeling towards the people who can live in expansive area with well known post code (such as 90210 for hollywood)."

You can also add pictures, videos and links to other sites using the links at the top of the box

SUBMIT

Thank You For Your Submission

Your song meaning will appear once it has been deemed awesome byour team of wizards. Add more meanings to earn more points!

Songwriters
LENNON, JOHN / MCCARTNEY, PAUL

Read more: Beatles - Can't Buy Me Love Lyrics | MetroLyrics
 
mno sasa watu hawana kazi but wanavaa nguo kutoka nje ya nchi si uchizi huo...
Lulu na Wolper wanangoza kwa madeni kwenye mabotique, eti nasiki kuna minywele ya maiti kutoka Brazil wenyewe sijui ndio wanaita wigi au weaving inauzwa 200,000/=
 
Utamkandia lakini ndio ukweli anatoka kwenye familia yenye mkwanja mrefu story mpaka bbc! Kalagabao nkuku wa kuzonyole wazaramo wanasema.

Mi cjamkandia mkuu au uoni vizurii....mi nmefurahishwa na aliekoment ivo ulipaswa kumwambie yy na sio mm.....istoshe kwenye mapenz akuna cha pesa wala utajir waweza kua na pesa na ukampenda maskin....pia waweza kua maskin na ukampenda mwenye pesaa
 
Lulu na Wolper wanangoza kwa madeni kwenye mabotique, eti nasiki kuna minywele ya maiti kutoka Brazil wenyewe sijui ndio wanaita wigi au weaving inauzwa 200,000/=

Poverty culture inatusumbua...tunajali sana image ya kuonekana kuliko ukweli halisi...poverty in our mind haijatutoka
 
Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…