Mapenzi sio pesa, roho inatosha

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578


  • Msichana huyu wa kihindi anaitwa Sarika Patel, na ameolewa na kijana wa kabila la Bukusu Timothy Khamala, jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wa jamii ya kihindi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba Sarika ametoka katika familia tajiri na kuamua kuishi maisha ya walalahoi kijijini

 
wao wawili wanajua wataenda kuanza maisha mapya pale wapendapo
 
Hongera zake kwa kujitoa.. Lakini baada ya muda atachoka
 
Ah wapi, wape muda tu, kupikia mkaa na mbu kutamkimbiza huyo...
 
Na akishindwa kuishi hayo maisha ya kimaskini apige picha pia
 
Anajifundisha maisha ya hali ya chini.

Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…