mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 566
hongera sana LadyAJ,nafurahi kuona wanawake mnaojitambua mnazidi kuongezeka,Mungu akuzidishie.Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa Dunia
Pamoja na urembo wangu nipo Kilindi Tanga maporini huku tangu asubuhi ya leo nacheka na mbigili tu wasalimieni wana Darisalama wala bata watoto watakoma kuzaliwa na mama mgumu wa shillingnikitoka hapa lazima Yule bwana anibebe kwa mbwembwe zote na mapenzi motoo Thanks Allah Tanga haijawahi kuniacha uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amin Rab Aminhongera sana LadyAJ,nafurahi kuona wanawake mnaojitambua mnazidi kuongezeka,Mungu akuzidishie.
acha fujo.Sema umeukumbuka tu mhogo.
Haha haaaa sikuwezi mkuu. Kaukumbuka ....?Sema umeukumbuka tu mhogo.
huyo ana fujo sana.Haha haaaa sikuwezi mkuu. Kaukumbuka ....?
InshaAllah utapata wako akufaayeKwa dunia ilivyo, tunahitaji wake wa mfano wako. Maisha kusaidiana. Ongera yake Abeid. Ungekuwa single kwa style hii ningefanya figisu zote mradi uwe wa ubavu wangu.
Shukrani Miss,nitakutafuta msimu ujao nikupe hekari 1 tu na mbegu uanzie
Tukiwa tumeshiba out of stress za mshahara mdogoHongera, ila binafsi lazima nikulale ili mapenzi yanoge
Asante Mamy kwa kunipa nafasi sitakuangushaShukrani Miss,nitakutafuta msimu ujao nikupe hekari 1 tu na mbegu uanzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvivu wewe huna loloteKwa dunia ilivyo, tunahitaji wake wa mfano wako. Maisha kusaidiana. Ongera yake Abeid. Ungekuwa single kwa style hii ningefanya figisu zote mradi uwe wa ubavu wangu.
Kabisa mkuuNi kweli. Mpira siyo goli tu, hata manjonjo pia ni furaha. Lakini furaha huongezeka zaidi goli linapofungwa kiufundi.
Haha haa umejuaje mkuu? Namimi napenda kitonga full mteremko natelezea na ganda la ndizi!
DuhHaha haa umejuaje mkuu? Namimi napenda kitonga full mteremko natelezea na ganda la ndizi!