Mapenzi sio kulala tuu

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
7,173
Reaction score
9,656
Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa Dunia
Pamoja na urembo wangu nipo Kilindi Tanga maporini huku tangu asubuhi ya leo nacheka na mbigili tu wasalimieni wana Darisalama wala bata
watoto watakoma kuzaliwa na mama mgumu wa shilling nikitoka hapa lazima Yule bwana anibebe kwa mbwembwe zote na mapenzi motoo Thanks Allah Tanga haijawahi kuniacha uchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaj eti tanga haijawahi kukuacha uchi.....mhhh hpa sijaelewa
 
Mbona wewe unakaa na simu wakati wenzio wapo shambani busy. Msalamie Abeid
 
Hongera sana LadyJ, kilimo ndiyo uti wa mgongo.unatekeleza kwa vitendo hapo
 
Mi nimeona hapo red tu... mengine nimewaachia wengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…