Let’s be real hii tabia ya mtu mmoja kubeba financial burden yote in the name of “love” is outdated!
Kama ni partnership, why not act like one? Bills, rent, groceries 50/50 sio option, ni responsibility.
Watu wengi wanapenda kusema “mwanaume ndio provider” or “mwanamke anatakiwa kusaidiwa,” but honestly… hiyo ni mindset ya kitambo.
If both of you are working, earning, and living the same lifestyle, mbona mmoja achoke na mwingine afurahie? That’s not love that’s imbalance.
Lakini pia ukweli usemwe… not everyone is ready for 50/50. Wengine wanataka soft life bila contribution 😅
So the real question is: Are you in a relationship… or a sponsorship program?
Let’s talk