Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Ndo maana yake yakhee....alaaa....
yakweli hayo?
mapenzi ya kweli yapo ila kwa kizazi hiki ni shughuli maana watu wanapenda kuinvest fedha ili wapate mapenzi na wapenzi hakika hapo huwezi pata mapenzi bali utampata consumer tuu. Ukitaka mapenzi ya kweli usiwekeze fedha utawapata wazuri wanaokupenda wewe. Mimi binafsi ni ke lakini fedha haina nafasi kwenye maswala ya mapenzi. Tukipendana tutatafuta hela ila bila upendo no peace hatuwezi kutafuta mafanikio. Hakuna kinachoniudhi kama hizi kauli za hapendwi mtu bila wallate.
Mapenzi yanaleta stress, hayo hayo yanatoa stress, kazi kwenu

Hamia kwangu uyaone
wanapatikana wapi sista na mie nisije chelewa?? maana mmh!!!!Wenzio tunajuta tumechelewa kukutana na wapenzi wetu kwa jinsi tunavyofaidi
Wapo wenye mapenzi ya dhati wewe...mimi mmoja wao lakini kila nimpendaye hanipendi!!!
kama yamekushinda pumzika tu
usijekonda bure mtoto wa watu!!
Naona ndio option nilobakia nayo nimechoka kulizwa!:crying::crying::crying:basi jifunze kuwapenda wanaokupenda.
Naona ndio option nilobakia nayo nimechoka kulizwa!:crying::crying::crying:
Sana halafu ndo kama hivo nikipenda napenda kweli lakini arghhhh labda mungu ananiepushia kitu au anajaribu kunionesha njia:A S 39:maskini! una kamoyo kepesi eeeh! pole dear.
Sana halafu ndo kama hivo nikipenda napenda kweli lakini arghhhh labda mungu ananiepushia kitu au anajaribu kunionesha njia:A S 39:
Inshallah!mungu anakupa lesson ili mahusiano yako yajayo yawe imara zaidi. usiwe na mtazamo hasi tena juu ya mapenzi, inawezekana kuna mgentleman umeandaliwa. ruhusu roho yako kupenda na kupendwa ili ufurahi
thread closed maana umemaliza yote.