Waungwana habari zenu.
Jamani,hivi kweli yapo mapenzi ya kweli dunia hii...me naona ni maujanja ujanja tu,wizi wizi,kudanganyana kwingi...
Jamani yapo kweli mapenzi ya dhati,ya kweli?
Pumzika mwaya!
Weye kupumzika waweza?
Wa mguu ndani mguu nje utawajua tu!Mkuu jipange!
Mapenzi hayataki nguvu nyingi!
Unatakiwa ukubali wakati wowote linaweza kutokea lolote! Ukipenda sana inakula kwako!
Pole!
Mapenzi yanaleta stress, hayo hayo yanatoa stress, kazi kwenuNiko likizo kitambo sana,nimejipumzisha tu No Stress!
Waungwana Jamani yapo kweli mapenzi ya dhati,ya kweli?