Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki

Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki

Bora kuwa na thread mbili au moja zenye mantiki na mafunzo kwa jamii kuliko kuwa na thread zaidi ya mia zisizokuwa na maana

Mnatujazia server tu na utoto wenu usiokwisha kila siku
 
Ili kuleta maendeleo katika taifa unatakiwa uimalishe uhisiano na mshikamano bora katika jamii kwa kuanzia gazi ya mtu moja, famalia, n.k.

leo hii hili swala unaweza kulichukulia kama jokes kwa maana hujui maudhui yake katika jamii yana nafasi gani?? na ushauri nilioupata hapa una faida gani? kwangu.
 
Acha porojo kijana, maendeleo hayaji kwa kuwaza blah blah zako na kupoteza muda kupost mada zisizo na mashiko ya kujenga hilo taifa unaloliongelea

je unajua mawazo ya msingi kwa vjana wanaotaka maendeleo kwa taifa lao :what::what:

jarib kuchunguza mawazo ya vijana wa kichina na ya kwako je yanarandana ???
 
Jaman hivi utakuwaje na mwanamke humtunz hata kama ni wife material
 
Back
Top Bottom