Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Kwa kuanzisha thread tu nakuaminia
Hapo kwenye red, naona hilo neno limekuwa maarufu sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii.. Nahisi halafu ya creation hapa kutoka kwa ndugu yangu Shy land.. Nway.. Basi sawa wa kwetu!!!!!!
matatizo ya mwenzio wewe unasema unamwaminia.
haya bhana.
inachosha sasa maana full ushigongo humu ndani siku hizi pia kuna dada mmoja hivi nae siku hizi humu ndo hata thread zake huwa sifungui maani ni hadithi hadithi hadithinadhani wakati umefika sasa muwe mnatutumia screenshots
inachosha sasa maana full ushigongo humu ndani siku hizi pia kuna dada mmoja hivi nae siku hizi humu ndo hata thread zake huwa sifungui maani ni hadithi hadithi hadithi...
inachosha sasa maana full ushigongo humu ndani siku hizi pia kuna dada mmoja hivi nae siku hizi humu ndo hata thread zake huwa sifungui maani ni hadithi hadithi hadithi
1. mpigie muulize anamaanisha nini kwa sms kama hiyo
mtu kuishi kwao hamaanishi hana mahitaj binafsi, na umesema duka la babake ina maana kila kitu anapangiwa!!
3. kama kweli una malengo naye muweke huru kuwa awapo na mahitaji anayoona waweza msaidia akwambie asisubir wewe uote ufanye, na si lazma kila anapokuomba ufanye vingine unapotezea na ni kipimo pia cha uvumilivu
4. unaweza kuta unavyompa sio vya muhimu kwake lakn kuna anavyo vitaman hajui avipate vipi!!!
uchumba had ndoa ni safar ya kufahamiana, kuchunguzana jua mapungufu ya mwenzio na mazur yake pia sio mnakaa kuviziana akosee upate sababu.
WW si muoaji ni galagaja wa maishaJambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
maisha yangu yatakuwa hivi:
1.Nitatafuta pesa kwa nguvu na akili zote.
2.Kuoa sitaoa lakini nitaajiri mwanamke kwa mkataba maalumu kama house girl ni nitakuwa namlipa kwa gharama,kazi ambayo atakuwa anaifanya ni kama ya mke.
Watoto atakaozaa ni himaya yangu, siku nikiamua kumfukuza kazi namfukuza kirahisi tu,nakuajiri mwingine