Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki

Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Kuna mwanamke ambaye ni mzuri na amejaliwa neema za Allah ,
kitu ambacho kilinipelekea kuweza
kumtongoza na akakubari baada ya kusota kama miezi mitatu bila majibu yakuaminika,

huyu mwanamke ninamalengo yakumuoa, sikutaka hata kumuomba mgegendo maana najua siku itafika.
atakuwa mke wangu nitamgegenda vyakutosha.

Nina tabia nikiwa natoka safari hupelekea zawadi ndogondogo kama hereni, mabangili na vitu vingine kama hivyo, tena kwa kumtuma mndogo wangu hapa nyumbani umpekee kwao.
hajawi kuniomba hela wala mimi sijawahi kumpa hela maana bado yuko kwao na anafanya shughuli yakuunza duka la baba yake.

leo meseji hii imenishutusha sana, ameituma sasa 12jion, inasema "mapenzi ni pesa maua mpelekee nyuki"

wakuu kwa sms hii kweli hapa kuna wife material, kwa kweli nimekasilika sana. na hadi sasa sijamjibu.

kama pesa huwanga natoa kwa wanawake ambao nawatamani tu, nawagegenda nawaacha, lakini siwezi nikatoa pesa kwa mtu ambaye natagemea kumuoa.

wadau ushauri wenu ni wapi nilipokosea?!.
 
Mkuu tafuta ustaraabu mwingine mapema. Hapo ndio ushatoswa hivyo. Alafu huyo demu anaonekana Ana midharau aliificha kwa long time. Pole sana but jipange uanze upya
 
Unaoneje hii stori yako nikiichezea muvi...
 
Unaoneje hii stori yako nikiichezea muvi...

Watu8 ifikie wakati binadam tuwe na huruma, kuomba ushauri imekuwa stori??
kama unachakunishauri nishauri maswala yakutegeneza muvi matatizo yangu yenyewe hayanihusu.
 
Watu8 ifikie wakati binadam tuwe na huruma, kuomba ushauri imekuwa stori??
kama unachakunishauri nishauri maswala yakutegeneza muvi matatizo yangu yenyewe hayanihusu.

Kwani unadhani movies huwa zinatengenezwa kutumia stori zipi?
 
Kwani unadhani movies huwa zinatengenezwa kutumia stori zipi?

Nimekuekewa haina shida fanya kama unavyotaka kufanya, usisau kuomba ufafunuzi kamili, maana nimesamarize tu.
 
Ukiona demu kama huyo ni mcharuko na anatabia mbaya kama angekua na shida ya pesa angekuambia kiustarabu inaonyesha anatabia mbaya na dharau za kijinga mapenzi ni maamuzi binafsi ila katika hali ya kawaida hakufai
 
ningepata namba yake ningempa hzo pesa anazotaka... hahahah imeandikwa "utakula kwa jasho"
 
ushauri hapo usijibu kitu mkuu, we kama pesa kidogo ipo mtumie hata kilo au hata elfu 50 baada ya hapo utapata majibu sahihi zaid coz mm hapo nachokiona ni mambo mawili ama ameamua tu kukutania au anamaanisha kweli!! kilichotakiwa we ulipaswa kujua mandhali ya mwanamke wake kisha ujue anahitaji pesa au zawadi ama vyote kwa pamoja!
naamini hata kama anahitaji pesa bado unaweza kumtekelezea coz tayari unaweza kumpa zawadi nyinginezo n'a hata kuwapa pesa wengineo unaowatamani! sasa kama nae unampenda bora ukomae nae kidume utoe pesa awamu hii!
 
"mapenzi ni pesa maua mpelekee nyuki"

Hapo kwenye red, naona hilo neno limekuwa maarufu sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii.. Nahisi halafu ya creation hapa kutoka kwa ndugu yangu Shy land.. Nway.. Basi sawa wa kwetu!!!!!!
 
Back
Top Bottom