mapenzi noma, huyu ndo dada aliyepokwa (anashea) mume na miss tanzania

Status
Not open for further replies.

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,042
2,000
jamani huyu dada ni rafiki ya mke wangu. yeye anahuzuni mpaka leo baada ya kupokonywa mume na miss tanzania, na tayari wana mtoto nae. sahivi mama anataabu maana inabidi ashee mapenzi na miss huyu, anayesemekana kujipendekeza kwa mumewe. 50315483.jpg DSC_0473.JPG :israel::israel::israel::israel:
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!
 
charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,321
1,225
Kwakweli you are 8 DAYS OLD kama inavyoonekana kwenye profile yako huu mchanganyiko wako ni wa uji na samaki
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,755
1,225
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!
wewe ni hakimu nini? Na kwa msimamo huu lazima Jk akupe ujaji mwaka huu.
 
maisara

Member
Sep 7, 2012
92
0
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!
Hapo umenena my dear, pengne yy ndo alimpa mumewe 7bu ya kumfata miss, make sie wanawake sa ingne ndo chanzo.
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,605
2,000
Ngoja nije nimfariji ni-PM namba zake ooooh mzuri huyo bado.................!:madgrin:
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,667
2,000
Hapa lazima Mods wawe macho jamani kwani kuna watu wanajiunga kutoka Facebook siku hiyohiyo kuja JF kuwachafua wenzao,
Mimi naona Story haina ukweli na haiendani na picha hizo km ni uwakilishi basi huko ni kufumbiana na mipasho
Labda kwa kumsaidia anayeibiwa Mume avumilie na alinde Ndoa yake huyo Mume atarudi tu yeye aendelee kumpenda hizo nyumba ndogo ataacha akikua na majukumu yakiongezeka
 
destiny1

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
249
0
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!

Asante sana, hajui anachotakiwa kufanya?? mwambie aendelee na maisha yake.
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!

Hahahaaaaa Muke ya Muafrica bana leo umenikosha kuanzia asubuhi mpaka nahis mtu kaiba ID yako!!!!!! Nitarudi kukupa kubwa lako
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
Kiukweli IFIKE MAHALA UKICHOKWA KUBALI MATOKEO TAFUTA AKUPENDAE MOVE ON!!!!!! Kujilazimishia ndo kunyanyasika kama hivo.

Sawa you had a thing it didnt work out, mtu hakutaki, baaas ! Aibu yake look for happiness else where!
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Hahahahah aseee unajua jana nimelala mapema na tabasamu usoni coz nilipewa maneno matamu kama asali lol
Hahahaaaaa Muke ya Muafrica bana leo umenikosha kuanzia asubuhi mpaka nahis mtu kaiba ID yako!!!!!! Nitarudi kukupa kubwa lako
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!

Really? Au unafahamu ambayo sisi hatufahamu?
Nakuombea yasije yakakukuta.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom