ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
jamani huyu dada ni rafiki ya mke wangu. yeye anahuzuni mpaka leo baada ya kupokonywa mume na miss tanzania, na tayari wana mtoto nae. sahivi mama anataabu maana inabidi ashee mapenzi na miss huyu, anayesemekana kujipendekeza kwa mumewe.View attachment 72886View attachment 72887:israel::israel::israel::israel:[/QUOTE
Mh! Kwani ndo huyu huyu miss afrika 2005?! Au namfananisha!
wewe ni hakimu nini? Na kwa msimamo huu lazima Jk akupe ujaji mwaka huu.Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!
Hapo umenena my dear, pengne yy ndo alimpa mumewe 7bu ya kumfata miss, make sie wanawake sa ingne ndo chanzo.Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!
jamani huyu dada ni rafiki ya mke wangu. yeye anahuzuni mpaka leo baada ya kupokonywa mume na miss tanzania, na tayari wana mtoto nae. sahivi mama anataabu maana inabidi ashee mapenzi na miss huyu, anayesemekana kujipendekeza kwa mumewe.View attachment 72886View attachment 72887:israel::israel::israel::israel:[/QUOTE
Mh! Kwani ndo huyu huyu miss afrika 2005?! Au namfananisha!
jamani huyu dada ni rafiki ya mke wangu. yeye anahuzuni mpaka leo baada ya kupokonywa mume na miss tanzania, na tayari wana mtoto nae. sahivi mama anataabu maana inabidi ashee mapenzi na miss huyu, anayesemekana kujipendekeza kwa mumewe.View attachment 72886View attachment 72887:israel::israel::israel::israel:[/QUOTE
Mh! Kwani ndo huyu huyu miss afrika 2005?! Au namfananisha!
Uzembe wake....mpaka anapokwa huyo mume alikuwa wapi? Hiv yawezekana kupoka mume wa mtu bila mume mwenyewe kuridhia? Haimake sense, ni kuwa mume mwenyewe alimchoka mkewe na akawa willing kuwa na mwanamke mwingine so aache kumlaumu mwanamke mwenzie, adil na mumewe period!!!

Hahahaaaaa Muke ya Muafrica bana leo umenikosha kuanzia asubuhi mpaka nahis mtu kaiba ID yako!!!!!! Nitarudi kukupa kubwa lako