Challya
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 469
- 609
Mapenzi bhana.
1. Wakati wewe unahangaika kumbembeleza awe na wewe, yeye pia kuna mtu anambembeleza asimuache.
2. Wakati anakwambia wewe sio wa hadhi yake, kuna mtu pia anamwambia yeye sio wa hadhi yake.
2. Wakati wewe ukilalamika hakutumii text, kuna mtu anamwambia kwamba anamsumbua na text zake.
3. Wakati wewe unalalamika hakupi sex, kuna mtu anamlalamikia kwamba anapenda sana sex.
4. Wakati wewe unalalamika kwamba anakupiga sana vizinga, kuna mtu anajiuliza mbona huyu hajawahi kuniomba hata mia.
5. Wakati wewe unalalamika mbona anakujibu text kiufupiufupi, kuna mtu anabembelezwa kwa texts tamu za mapenzi.
6. Wakati wewe anakwambia nikiwa free tutaonana, kuna mtu mwingine anakatisha ratiba zake ili akaonane nae.
7. Wakati wewe ndio kila siku tu unampigia simu na kumtumia vocha, kuna mtu yeye kila tu yeye ndio anapigiwa.
8. Wakati wewe ukilalamika mbona yeye ni gogo kitandani, kuna mtu anazidiwa na mauno yake huko.
9. Wakati wewe anakutumia text ya "Good night", kuna mwingine anamtumia text ya " Baby i'm here for u, tell me now".
10. Wakati wewe unamtumia text ya "Good morning", kuna mtu anamtumia text isemayo " Baby, bado unahisi maumivu?"