sawa bossVictor Mlaki nyuzi zako inabaidi uziweke hata jukwaa la hoja mchanganyiko , huko great thinker wengi wamezuiliwa kuchangia
YeahS
sawa boss
ikiwa kuna changamoto ya nguvu za kijinsia, via vya uzazi au ugumu wa maisha, kamwe huwezi kupenda, kuwaza kuhusu mapenzi, wala kuinjoy mapenzi,Ni upumbavu mtupu usiona manufaa.ni hasara tup na kupotezeana mda.bora tutafte ela itupende maana mapenz n uzushi usiokuwa na manufaa kiroho.bora nimpende mungu tuh maan yy ndio anayenijal.
Huyo anaekupenda unamtafutia wapi?Mapenzi matamu ndugu Tafuta anaekupenda sio kulazimisha.
Pesa haiwezi kukusaliti,ni pale ambapo utatoka nje ya mstari, hapo haiwezi kukufuata Kwa kuwa ipo Center kama mstari wa ikweta😂Pesa ipende wewe,maana nayo inaweza kukusaliti vilevile.
Pesa haina faida yoyote Mkuu, hutajua hilo ukiwa nazo na hasa uwe mpweke.Ni upumbavu mtupu usiona manufaa.ni hasara tup na kupotezeana mda.
Bora tutafte ela itupende maana mapenz n uzushi usiokuwa na manufaa kiroho.bora nimpende Mungu tuh maan yy ndio anayenijal.