Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Unakuta unamtu unampenda na kujitahidi kufanya kila anachotaka ili ajisikie vzr lkn yeye hana muda na wewe ukimwambia hiki sikipendi ufanye hakusikilizi ndio kwanza anaendelea na mambo yake Muda ufike sasa tujiangalie wenyewe mahusiano ya siku hiuzi ni upumbavu tu I hate ote wenye tabia za hivo.