Like others said,Wana Jf! Napenda kuuliza ila samahani kama hii ilishawahi kupostiwa hum! Ivi ikiwa unampenzi lkn mpenzi huyo anakwambia ninakupenda sana na unaweza kuxema chochote naweza kuku fanyia lkn kuhuxu Mapenzi hilo kwangu haliwezekani! Na wewe unampenda xana, sasa huyo binti utafikili ana Mapenzi ya dhati kwako au ndo wale wakuchuna 2
Nimekwelewa mkuu!Like others said,
Anahitaji long terms agreement, pengine alishapitia akaishia kuchezewa au wakachezeana! Or may be hajawahi kabisa anaogopa asije kukupa ukamkimbia!
So angalia vigezo vya msingi unavyohitaji kwa mwanamke (to be your wife ) kama 80% anavyo make her your wife, utakuwa unakula anytime you need!
Sex pekee sio kipimo cha kwamba anakupenda au laaah
Nita kaa nae mkuuTatizo vijana wengi wanawaza urafiki kati ya mwanamke na mwaume lazima uhusishe kusex.
Haya mambo ni makubaliano kati ya wawili wapendanao.
Kwa upande wangu naamini mnaweza kuwa marafiki/wachumba mkaamua tutosex na mkavumilia bila tatizo.
Ushauri wangu kwako mchunguze kama anakupenda kweli, mkae mjadili vizuri kwa nini hataki na mkubaliane kwa pamoja.
Lakini kama wewe ulimtamani na kuomba urafiki ili kusex naye tu basi hayo ni mambo mengine.