Mapenzi ni nini?

That's love
 
Kwa experience yako ni vipi unaweza toa maelezo general kuhusu mapenzi
mm nina mapenzi sana na MAN U na huku Tanzania nina mapenzi na Simba
nikiingia Bar my dear bottle ni Safari lager
nyie mliozaliwa kipindi hiki cha 4G na 5Gndio mnaojua mapenzi ni kuosha rungu basi mkiachwa mnajiua. mabint wa siku hizi ni tofauti na mama zenu na sisi babazenu tuliostik mahali pamoja
 
ni kizunguzungu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…