Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,726
Mambo yapi hayo mkuuMapenzi ni mambo mbalimbali tu.
Mapenzi - upendo hebu jaribu kuweka clear hapo mkuuNi ule upendo wa kweli kati ya mwanaume na mwanamke pamoja na kale katunda alikopewa Adam
Mkuu ukimtendea mtu jema ukalipwa utakuwa huna mapenzi?Kumtendea mtu mambo mema bila kutaarajia Malipo ndio mapenzi hiyo ndo tafsiri yake
Wewe jua ni Mambo mbalimbali.Mambo yapi hayo mkuu
Ni ule upendo wa kweli kati ya mwanaume na mwanamke pamoja na kale katunda alikopewa Adam
Kwa experience yako ni vipi unaweza toa maelezo general kuhusu mapenziHayaeleweki maana yanabadilika kutokana na wakati
Nimeisoma hii zaidi ya mara tatu concept inakuja na kutokaMapenzi = ni Mambo yenye mchanganyiko wa Aina yake ambayo yanabadilika Mara kwa Mara kutokana na mabadiliko ya sayansi ya akili baina ya mwanamke na mwanaume walio karibu kinafsi na kimwili
Kama mapenzi ni kutulizwa mbona nasikia wengine wanateswa na mapenziMapenzi ni hisia baina ya mtu na mtu, mtu na kitu au mtu na hali. Hisia hizo huongozwa na nguvu zisizoonekana kwa macho ambazo huvuta au huvutana na kukamilisha jambo ambalo muhusika hutulizwa au kupendezwa nalo.
Kwa tafasiri isiyo sahihi, wengi wanatafasiri mapenzi kama tendo la kujamiiana baina ya viumbe hai na hasa binadamu. Hii siyo tafsiri sahihi ya neno mapenzi.
Ikiwa unatulizwa na hali ya hewa nzuri basi una mapenzi na hali ya hewa, ikiwa unatulizwa na kufurahia kucheza draft basi una mapenzi na mchezo huo. Kwa ufupi mapenzi ni upendo.
Hao wanateswa na WIVU. Hata siku moja hakuna anayeteswa na mapenzi.Kama mapenzi ni kutulizwa mbona nasikia wengine wanateswa na mapenzi
Sasa mwenye wivu si ndeye mwenye mapenzi ya dhatiHao wanateswa na WIVU. Hata siku moja hakuna anayeteswa na mapenzi.
Globalization changed everything kwa wakati tulio nao mapenzi ni kitendawili kizito Sana mkuu yaani yanagusa sehemu tofauti tofautiKwa experience yako ni vipi unaweza toa maelezo general kuhusu mapenzi