Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,726
Mambo vipi wana MMU,
Nimekuja kwenu kupata tafsiri ya hii kitu mapenzi ukiangalia experience yako katika maisha uliyopitia mpaka sasa katika swala zima la mapenzi ikitokea ukaulizwa mapenzi ni nini? Wewe utajibuje kwa mtazamo wako kutokana na experience yako binafsi ulikotoka ulipo sasa na unakoelekea ni vipi unaweza toa maana ya mapenzi.
Karibuni,