[/COLOR]
hivi kama mtu hana time na wewe unataka nini tena?wakati mwingine nadhani hayo maumivu tunajitakia wenyewe, na kuna njia nyngi za kutoswa, kama iliyonikutaga mie enzi hizo ile naikubali mpaka kesho na cjilaumu, bali nilijiuliza maswali bila kupata majibu, lakini ile dizaini unaona limtu halina muelekeo kabisa, hajali/hakuckilizi wala kukuelewa hapo unasubiri nini tena ucshike ustaarabu mwingine?
Hehehe luv labda jamaa alipitiwa tu na wewe ungechuna kama umetuma sms jamaa hajakujibu ungebaki kimyaa au ndo kuzimia saaana dah hiyo swity tunaita msaada kwenye tutaz.
Kumbe hii HB ni janga la kila mtu eeh!!! Hadi dada yangu nawe yalishakukumba, mimi nilijua hizi HBs zinafanywa kwa baadhi ya watu tu
Accronmy
HB= Heartbreak
c unajua tena luv mambo ya mapenzi na tulikuwa shwari tu so wazo la kudhani jamaa kachuna nilikuwa cnalo kbsa, kumbe sio kuuchuna tu na kuachwa juu, haaaa aisee, then nikaja kukutana nako Kampala wakati huo nimeshakuwa na mr, anaanza oohh haaa nyingi....
then nikaja kukutana nako Kampala wakati huo nimeshakuwa na mr, anaanza oohh haaa nyingi....
Sipo enzi hizo, kajamaa kalinichezea rafu kweli bila ya mie kujitambua
...... Dada hiyo bolded imenibidi nicheke tu maana mh. Kwa kweli mie mapenzi siwezi kuyaelezea. Kuna article ya Oprah nimeisoma kwenye blog ya Binti Machozi inafundisha ..... nasubiri idhini ya mwenye mada niipaste hapa ila sijui italeta mada ndani ya mada!
Sipo enzi hizo, kajamaa kalinichezea rafu kweli bila ya mie kujitambua, na alikuwa ananijua vizuri kwamba angenionyeshea vi mtindo vya kiajabu ningekuwa wa kwanza kumwaga, sema kaliniwahi then sasa hivi kanataka leta ile yako ya "kujikumbushia"
hahahhahahhahahahhahahhahahah fide nawe umesahau ule msemo mla mla leo mla jana kala nini....Nyamayao kwa nini sasa unamdharau?
Umesahau ulikuwa unamwita honey,sweet,asali wa moyo wangu, husband to be,nakuona kwenye bilauli,nikitembea nakuota,nisiposikia japo sauti yako silali,bila wewe siwezi kuishi yote haya umeyasahau leo unamdharau lakini kumbuka alikuwa anakufikisha kunako au maufundi amezidiwa na Mr. kwi kwi kwi maana ukizidiwa tu na new ndo dharau hizi zinavyokuja hahahaha.
hehehe hapo umeniacha hoi yaani ndo zile zile sizitaki mbichi.
Lakini kama kweli ulikuwa unampenda kwa dhati wanasema wapenzi wazamani eti ruksa kukumbushia vp jamaa akuomba mkumbushie au ndo alikuwa analeta za kuleta.
Na usikute alichachawa alivyo kuona mtoto umependeza kwi kwi kwi baada ya kupata papaa mwingine hapo ndipo naona jamaa alipagawa.
...... Dada hiyo bolded imenibidi nicheke tu maana mh. Kwa kweli mie mapenzi siwezi kuyaelezea. Kuna article ya Oprah nimeisoma kwenye blog ya Binti Machozi inafundisha ..... nasubiri idhini ya mwenye mada niipaste hapa ila sijui italeta mada ndani ya mada!
haaa wapi, unajua luv mie cpendi kuitesa roho yangu kabisa, kweli nilishangaa na niliumia coz ckumkosea lolote then amenikuta nipo ulimwengu mwingine aanze ohhha ahhh wallah cwez kumwelewa hata kidunchu, haitotokea! tunakutana mara kibao tu lakini ni salamu na kila mtu anashika lake, kukumbushia aisee haiwezekani.
Nyamayao kwa nini sasa unamdharau?
Umesahau ulikuwa unamwita honey,sweet,asali wa moyo wangu, husband to be,nakuona kwenye bilauli,nikitembea nakuota,nisiposikia japo sauti yako silali,bila wewe siwezi kuishi yote haya umeyasahau leo unamdharau lakini kumbuka alikuwa anakufikisha kunako au maufundi amezidiwa na Mr. kwi kwi kwi maana ukizidiwa tu na new ndo dharau hizi zinavyokuja hahahaha.
haaa mie kushoka kabisa, yani wanaume cjui mkoje, sasa anieleze lipi kwasasa na litasaidia nini?
Nyamayao unaongea tu lakini siwezi bisha labda jamaa mchovu ndo maana unamdhalau sasa umepata baba lao aliyemzidi kwa kila kitu ndo maana unasema hakafai.
Unajua mwanaume siku zote iwa anapenda ajaribu radha tofauti atazunguka weee lakini ipo radha ambayo yeye anaipendelea natambua sasa kama jamaa ana amua kukudondokea radha yako ni mulua hehehehe lakini naona wewe unaona hana radha laiti angekuwa ana radha najua tu kwa jinsi mlivyo wanawake mngekaa kitako na kuyamaliza kiutu uzima tu mkasuuza na kukonga nyoyo zenu.