...huyo tunamwita 'mlafi'! si unajua mwenye tabia za ulafi akivimbiwa anakuwaje? mwenyewe hujiona kafwaudu kumbe -anahitaji kusaidiwa, hajiwezi!
Laiti kama Mwanajamii ungejua mapenzi nini leo hii usingelijuta.
Mwanajamii mapenzi yana utamu ndani yake lakini utamu ukizidi utakuja juta,
Ingekuwa Mwanajamii unatambua mapenzi yana shubili usinge kubali kufia,
Mwanajamii nini umekipata katika mapenzi?
Mwanajamii baada ya kuwa katika mapenzi umejifunza nini?
Mwanajamii wanasema mapenzi hayana formula je wewe ulitumia formula ipi?
Nasikia uchungu juu ya mapenzi naomba niishie hapa.
..
... mapenzi ni pamoja na 'uchoyo' wa roho kutaka "umtakaye" awe wako peke yako, kwa hali yeyote ile iwayo hata kama itabidi udhalilike mbele ya jamii inayokuzunguka.
Mapenzi ni bubu
mapenzi ni kiziwi
mapenzi ni kilema
mapenzi ni yatima
mapenzi kiwete
mapenzi ni ukoma
mapenzi ni kipofu
mapenzi ni ulemavu
mapenzi ni maumivu
mapenzi ni furaha
mapenzi ni kicheko
n.k, n.k, n.k,
Hivi mapenzi pasipo maumivu kwa wahusika yanawezekana kwenye dunia ya leo?
Hivi mapenzi pasipo maumivu kwa wahusika yanawezekana kwenye dunia ya leo?
Sentensi tata hii mpaka nimecheka kwa nilivyofikiri mimi...Maumivu yapi unamaanisha? kichwa au maumivu ya kuumizwa kwa kutendwa??
Fafanua mkuu!..
Mwana mimi sikutegi lakini nataka nipate ufafanuzi haya mapenzi kama ni matamu kwa nini watu wanauana kwa ajili ya wivu wa haya mapenzi.
Na hapo kama ni shubili mtu unateseka kwa ajili ya mapenzi kwa nini usiayaache jamani?
Ngoja nimpige tafu,
Maumivu kama kutoswa au kuto thaminiwa na yule umpendae kwa dhati yaani husikii la kuambiwa juu yake lakini yeye anakuona **** tu na hana time na wewe na anakutosa jumla.
[/COLOR]
hivi kama mtu hana time na wewe unataka nini tena?wakati mwingine nadhani hayo maumivu tunajitakia wenyewe,
na huo UCHOYO fide ndio unasababisha WIVU... hutaki raha unayopata wewe kwa mpenzi wako apate mwingine japo raha ya kupapasa shavu....I liked this too!!!!!!!!!!!
Kumbe ni uchoyo??????????ni kweli kabisa.
Hehehehe pole Nyamayao kumbe na wewe yalikukuta pole sana swity.
Lakini utakuta mtu hakupendi wewe unang'ang'ania ndo kujitia maumivu hayo yakujitakia lakini nafahamu yote haya watu wanafanya kwa ajili ya kupenda mi navyo jua ukiwa katika mahusiano kwa wale ambao hawajao au kuolewa kama mimi bado sijao jaribu kuto fall in love kuwa simple tu kesho akikumwaga huumii sana kama yule aliye fall mala atatafuta vidonge ajimalize frustrations za kumwaga.
asubuhi hapokei cmu wala hajibu sms, yaani ilikuwa ya kistaarabu balaa, nam salute aisee mana aliniweza.
Ngoja nimpige tafu,
Maumivu kama kutoswa au kuto thaminiwa na yule umpendae kwa dhati yaani husikii la kuambiwa juu yake lakini yeye anakuona **** tu na hana time na wewe na anakutosa jumla.