Unajiskia sababu ulipendwa, ngoja uje ukutane na manyang'au ndo utatia akili.
Haaah jamani kuna dada zako, shangazi, mke, mama wa dogo/kubwa, nk; japo mtandaoni ila tumia maneno yenye staha hata kwa mbali.
.....mkuu namaanisha wachuuzi wa mapenzi, haija-base kwenye jinsia hata wanaume wapo manyang'au mkuu!
Ulaya ulikwenda kwa boti ukitokea Libya. mbona hunipi picha kam wewe umepitia shule ? au uko ulaya ndogo yaani Lushoto