Mapenzi ni mazoea

Mapenzi ni mazoea

hassan007

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Pale una mkuta mtu na msichana ambaye wewe una muona sio mzuri wala havutii ila mwenzako kampenda sana , hapo ndo uta gundua mapenzi ni mazoea.
 
Kweli jamaa kumbe una mawazo kama yangu juu ya neno mapenzi, mapenzi kweli ni mazoea.
 
Cha nn wenzio wana waza watakpata lin
 
Unajua kila shetani ana mbuyu wake. Si kila utakayempenda wewe basi kila mtu atampenda na si kila utakayemuona we hafai basi watu wote watampuuza, SIVYO!!! Mapenzi ni kama majani huota yanapotaka. Na mapenzi hayana sababu, ila kuweka hoja yako vizuri, niseme kwamba mazoea ni miongoni mwa stage za kuelekea kwenye mapenzi!
 
Mapenzi mkuu hayana mipaka.
Ukianza kuuliza mtu kampendea mwingine , utashangaa.

Utaskia kampendea makalio,
Wengine sura,
Kuna wa kupenda anavyotembea.
Wa maringo yake,
Pia wa kushuta kwake!
Kucheka, kupumua,kuchemua!
 
Kuna watu wake zao wabayaa hata kutembea nao hawataki lkn wako nao na wanapendana, kweli mapenz mazoea
 
Wakati Mwingine Unaweza Kumpenda mtu ambae hajulikani mgongo ulipo Wala kalio, lakini ukamkataa ambae ni Mrembo.. Hayo yote Huletwa na Mazoea
 
Back
Top Bottom