genesisbryne
Member
- Dec 30, 2010
- 12
- 2
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.
nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!

Mlishawahi ku-du kabla ya kuachana.[/QUOTEt
kama kawa kuduu.......lazima wewe
Sometimes you have to smile pretend everything is okay Hold back the tears,and just walk away....utaumizwa na wenzio hadi lini?? wewe umebaki kuungulia moyoni mwenzio anakula gud tym....me pia nlikuwa hvo hvo lakini cku hzi wala binadam mwenzangu hanipi presha.... nikiona haviji tupa kuleeeeeeeeeeeeee naendelea na ishu zangu
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.
nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!
True dat kama haujawahi kuonja "Tamu Chungu" hauwezi kuelewa kabisa..Mapenzi mateso, kama hujawahi kuteseka ni ngumu kuelewa.
Mapenzi mateso, kama hujawahi kuteseka ni ngumu kuelewa.
True dat kama haujawahi kuonja "Tamu Chungu" hauwezi kuelewa kabisa..