Mapenzi ni kuhitajiana .. (18+)

Mapenzi ni kuhitajiana .. (18+)

Mara nyingi katika mahusiano wake zetu huwa hawako tayari kuonyesha hisia zao. Kwamba wanatuhitaji.
Yani mnaweza mkakaa siku nzima home, mmekula, mmeoga, mnaenda bed. Bado unakuta mke hana nyege na wewe...

Kwamfano hii loong weekend.. utakuta wako bize na vikoba, vikao vya harusi na marejesho.

Ok! Rejesha unayo rejesha..
Kwa bed nako unarejesha nini?..
Unakuta mke haanzi kukushika.. haanzi kuonyesha anakuhitaji. Ukianza wewe utaskia anasema "nimechoka". Umechokaa!!!??

Umechokaa nini siku nzima umekesha na makundi yako WASAP .!?

Somo kwa faida ya wote. Ukiamua kuwa Mke .... Kuwa Mke.

Nikikuhitaji... Nawe Nihitaji. ❤️❤️
Umenyooka sana mkuu njoo pm uokote!!!
 
Hoja hii izingatiwe na isipuuzwe kabisa.
 
Back
Top Bottom