jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Jamani kila mtu anayafahamu mapenzi!
Sasa kwangu mimi naona faida zake ni ndogo kuliko kile tunachotegemea!
Wapenzi wengi wameishia kuumizana moyo, kutalikiana, kuambukizana magonjwa, kujiua, kuua au kuuana.
Mapenzi yanashusha performance ya mtu hata kumfanya useless kabisa mahali pake pa kazi, na fsini mwake.
Mapeni ni sehemu muhimu kwa maisha ya mwanadamu (Mwanaume na mwanamke) kwa hiyo ni ishu ngumu kuishi bila mapenzi pengine ni wachache ana wanaoweza kuishi bila mapenzi wale ambeo wamempa MUNGU maisha yao au vilema na wenye matatizo ya hisia. Kwa mtu alie kamili mapenzi ni kitu muhimu kwani mwili unahitaji.
Nimeona ndugu wengi sana wakiacha na suala kuoa kwa sababu washaona kabisa ndoa ni matatizo au kujitaftia kifo kabisa pale mtu unaposhindwa kuhimili matatizo ya mapenzi.
Wengi wameishi kuzaa huko na kununua monde huku maisha ya kisonga vizuri tuu. Nimewafatili na kuona wako waangalifu sana as wanatumia kondom na kupima kwa hiyo swala la magonjwa hakuna shaka. Pia wengine wanafanya masturbation kukidhi haja zao na kuangalia picha na video za ngono kutimiza haja zao za kimwili.
Sasa ndugu zangu tufanyeje kutokomeza haya majanga ya mapenzi?
ONYO
Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi! MUNGU hapendi uzinzi au uasherati pia watoto wanaozaliwa nje ya ndoa huteseka sana kwa dhambi na hawapati Baraka zote za MUNGU soma ishu ya Ishamel na mtoto wa mfalme Dauli aliezawa na Uria.
Soma hapa Zaidi Onyo kwa sisi ambao tumeamua kuzaa nje na kuwa mabachelor maisha yetu yote. - JamiiForums