Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Basi mimi ni shujaa wakuvumilia kila kasolo kwa mpenzi wangu
Hongera sana.Basi mimi ni shujaa wakuvumilia kila kasolo kwa mpenzi wangu
Ila kuna madhara upande wapili yanatokea kama vile kuwa na msongo wa mawazo au kupata presha and so onHongera sana.
Ni watu wachache mno kwa sasa.
Jivunie kwa hilo.
I beleive kuna factor nyingi zinazofanya mpaka mahusiano kufikia hapo. Binafsi naamin love ni on and off feelings.. kuna kipindi ziko down kuna kipind ziko up. Swali ni kwamba pale love feelings zinapokuwa down wanandoa au wahusika kwenye mahusiano wali fanya bidii gan kuirudisha ile hali au kuamsha zile spark za mapenzi?
Usaliti tu, mmoja kuacha kumpenda mwenzie na kumthamini kitu ambacho husababisha migogoroNn hupelekea "hisia kuwa za muda" na zisiwe "hisia za kudumu"??
Oh,.lots humans less humanity eeh?!!Watu nowdays hatupendani tunapenda vitu kwanza.
Alternative supplies zinapojitokeza tena.Nn hupelekea "hisia kuwa za muda" na zisiwe "hisia za kudumu"??
Zikifa hizo feelingz Inahitaji muujiza kuirejesha mkuu kwa mafanikio.I beleive kuna factor nyingi zinazofanya mpaka mahusiano kufikia hapo. Binafsi naamin love ni on and off feelings.. kuna kipindi ziko down kuna kipind ziko up. Swali ni kwamba pale love feelings zinapokuwa down wanandoa au wahusika kwenye mahusiano wali fanya bidii gan kuirudisha ile hali au kuamsha zile spark za mapenzi?
Uwezekano wa kuzirudisha upo ila sasa kuna hard work inahitajika kati yenu si mmoja aganye bidii mwingine awe amekaa tu.Zikifa hizo feelingz
Inahitaji muujiza kuirejesha mkuu kwa mafanikio.