Kila mahali sasa kila mtu anazungumzia mapenzi......wakati enzi zile (ambazo kila mtu anaziita enzi zetu) mapenzi yalikuwa siri ya wawili tuuu.....jmn tupunguze au tubadilishe style!!!
Mbona na wewe umeongelea mapenzi??