mmmh!ataachana na mtawala wa dunia!!...mapenzi yanatawala dunia!kama mapenzi yanakukera achana nayo fanya mambo mengine!
Mkuu si kweli
Mapenzi ya dhati bado yapo pale pale kama yalivyokuwepo kilichobadirika ni kwamba watu wa siku hizi ndo hawana mapenzi ya dhati.
hiyo ni sawa na kusema hatuna sera nzuri wakati sera nzuri zipo ila watu hawazitekelezi
Ali Kiba na Jide put it very nicely.
I'm not a big bongofleva fan but this song right here is on point.
"Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu. Hakunaga mapenzi yale, ya kugandana ni zama za kale"
mmmh!ataachana na mtawala wa dunia!!...mapenzi yanatawala dunia!
Mkuu si kweli
Mapenzi ya dhati bado yapo pale pale kama yalivyokuwepo kilichobadirika ni kwamba watu wa siku hizi ndo hawana mapenzi ya dhati.
hiyo ni sawa na kusema hatuna sera nzuri wakati sera nzuri zipo ila watu hawazitekelezi
watu wengi wanashindwa kutofautisha vitu hivyo viwiliyeah...huo ndio ukweli...
Labda tu nikazie kdg...kuna song ya ally/abdul kiba imeelezea vizuri...inaitwa kibela..."hii dunia $io mbaya walimwengu ndio wabaya..that true..!
NB:kama wewe si mwaminifu ba$i huwezi kuaminiwa..!
By $ina habar!
kama mapenzi yanakukera achana nayo fanya mambo mengine!