Nina miaka 28 ila Nina tatizo LA kupenda wanawake watu wazima nikipata msichana mdogo nahis kuto enjoy mapenz na wamame wenyew ninao watamani wawe vibonge sasa sijui Nina tatizo la saikolojia mana naweza nikalala na msichana wa rika langu nisipate hata hamu ya kurudia
Aiseee nimejalibu sana kutafuta wa rika langu ila nashindwa kabisa nikiona mmama tu alafu kibonge bac hapo nitafanya juu chini hata kutumia kias gani niwe nae tu