TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,899
Bila kupoteza muda niende kwenye mada!
Miaka kadhaa iliyopita jamaa (tumuite J) alikuwa na mahusiano na binti (tumuite MG) binti alimpenda sana J kiasi kwamba alikuwa radhi kufanya chochote kwa ajili ya J, ila J alimuona MG kawaida sana!
Baada ya MG kuona âge inasonga, n'a J haonyeshi dalili za kumuoa, kishingo upande akaamua kuolewa na mpiga saruti mmoja mwenye nyota moja sasa!
Maisha yanaendelea, MG hisia zake zikiwa bado kwa J japo ameolewa na mpiga saruti, MG akaanza kumbembeleza J walau amfuate alipo ili aipeleke mbususu! J akagoma katakata kumrudia MG kwa madai kwamba yeye hawezi date mke wa mtu, (hapa alifanikiwa kuikwepa hiyo dhambi)
MG akapata mtoto na mpiga saruti, muda mfupi baada ya kupata mtoto ndoa ikaanza kuwa ndoano, vipigo mpaka kuchaniwa nguo hadharani, bila huruma na mpiga saruti kuleta wanawake mpaka home kwake, bibie akinyanyua kinywa tu basi lazima siku hiyo akalale kwa balozi...
Akavumilia vipigo na masimango yote, wakapata mtoto wa pili, (nikacheka sana, ule usemi kwamba ndugu wakigombana beba jembe kalime ukadhihirika, maana pamoja na vipigo vyote ila mimba kabeba bhanaaa)
Baada ya mtoto wa pili rate ya kugombana ikaongezeka kiasi cha MG kuikacha nyumba yake na kwenda kuishi mwenyewe mitaa ya kimara temboni, jamaa akabaki makongo juu akizichakata mbususu bila bughudha!
MG akaamua kumtafuta tena J, kumbembeleza ikiwa ni pamoja n'a kumtumia viburungutu vya noti ili tu arudiane naye, J akatafuna pesa lakini hakukubali kumrudia MG.
Baadaye MG alikata tamaa ya kumrudia J, akamuomba wabaki kuwa marafiki kwa madai kwamba walau akiwa karibu naye anajisikia faraja!
Basi bwana siku chache zilizopita MG kampigia simu J kumuelezea challenges anazopitia, akajieleza kwa kirefu sana huku J akimsikitikia na kutoa maoni machache, kumbe mpiga saruti ame-hack simu ya mkewe, anapata updates zote za conversation za mke na jamaa!
Baada ya mpiga saruti kuona mkewe anavyomwaga stories zao kwa J, akaamua kumpigia J na kumpiga mkwara kwamba " Najua ulkuwa na mahusiano na MG, lakini sasa hivi unajua nipo naye mimi,hivyo mwambie aache kukwambia mambo yetu" J akapigwa na butwaa, huyu mpiga saruti vipi, mbona analeta ujuha kama wa akina Kingai na PGO? Yaani anaongea kana kwamba hajaenda shule, yaani anamtuma X wa mkewe akamwambie mkewe (hata kama hawakai pamoja) habari hizo, really?
Mbaya zaidi, J hata hajamla mke wa mpiga saruti, lakini jamaa kafura kwa wivu na hatimaye kumwambia, "kama unataka kumrudia mrudie tu, maana mimi nimeshaachana naye" tena kwa sauti ya hasira mnoooo...
Najiuliza,sasa kama mpiga saruti hamtaki tena mkewe, na mke ndo anabembeleza kuliwa mbususu na J, na J anakataa kabisa, sasa hiyo hasira ya mpiga saruti kwa J inatoka wapi?
Afu mpiga saruti alikuwa anajua tangu zamani kwamba MG alikuwa mpnz wa J, (kama alimpora hivi) sasa inakuwaje anajaa mihasira? J angekuwa anamkula mke wa mpiga saruti ingekuwaje ikiwa hapa tu jamaa amefura kwa hasira ...
N.B usithubutu kupora mwanamke wa mtu kwa nguvu ya cheo/pesa, acha akupende mwenyewe, kinyume chake unaweza kujikuta unalia kilio cha mbwa koko!
MG
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app