ni kweli mara nyingi wanawake wanapenda sana kuongea....lkn ni vizuri vitu vikawa vinajadiliwa taratibu kwa masikilizano watu waelewane lakini uatakuta mwanamke hapewi nafasi ya kuongea.....mbabe anataka atakachoongea yeye ndo kiwe hicho hicho....hata kam kosa lake hv nanai atakubali hapo.....lazima marumbano yatokee lakini hata kama mtu unahasira vip jaribu kucontrol hasira zako lakini sio kutukanana mbele ya kadamnasi....na kupigana ni aibu tupu.....au unapomtukana mwenzako matusi ya nguoni mbele za wtu unajidhalilish awewe mwenyewe na huyo unaemtukana......thanx sana kwa alie anzisha hii topic i wish i can say more....lakin i can't.....
Mimi nafikiri wakati mwingine ni bora
kila mtu kabla hujaanza kuingia kwenye mapenzi
na mtu ni bora kujua kwamba,
masuala ya kugombana na kupata maudhi kwenye mapenzi
ni mambo ya kutegemea na kutarajia......kilicho cha maana
ni wewe mwenyewe kujifunza namna ya ku deal na ugomvi
na maudhi yanayokuja na mapenzi.....it is part of any relationship.....
Sasa basi cha kushangaza ni kuwa wapo watu wakiwa na ugomvi
kidogo na wapenzi wao ni aibu tupu......
Yaaani aibu mpaka kwa majirani au wapita njia.........
Wengine ugomvi mpaka watu wanajaa kuwasikiliza na ukikuta
yanayozungumzwa ni aibu ,aibu aibu........
Pamoja na yote mimi naamini mwanaume ukiwa na msimamo na unajua
kum handle mwenzio tangu mwanzo mambo mengi yasio faa yanaweza ku epukwa.....
Hivi ni lazima watu wazima mfokeane mbele ya watoto????
Au ugomvi mpaka majirani wanakuja kuwaamua??????
Utakuta mtu anajaribu kumtukana mpenzi wake mbele ya watu as if
na yeye hajitukani kwa ujinga wake.....
Mimi huwa naona watu kama mmechokana ni bora kuachana kwa heri bila ugomvi
na sio unakuta watu wazima,shule wameenda,pesa wanayo lakini
ikifika jioni ni ugomvi,ugomvi mpaka wapita njia wanasimama kufaidi sinema ya bure...
Ni kweli wanawake wana maudhi sana.but mwanaume ukiwa mstaarabu
matatizo mengine yanaepukika........
Tusisahau nobody is perfect...........................................
ni kweli mara nyingi wanawake wanapenda sana kuongea....lkn ni vizuri vitu vikawa vinajadiliwa taratibu kwa masikilizano watu waelewane lakini uatakuta mwanamke hapewi nafasi ya kuongea.....mbabe anataka atakachoongea yeye ndo kiwe hicho hicho....hata kam kosa lake hv nanai atakubali hapo.....lazima marumbano yatokee lakini hata kama mtu unahasira vip jaribu kucontrol hasira zako lakini sio kutukanana mbele ya kadamnasi....na kupigana ni aibu tupu.....au unapomtukana mwenzako matusi ya nguoni mbele za wtu unajidhalilish awewe mwenyewe na huyo unaemtukana......thanx sana kwa alie anzisha hii topic i wish i can say more....lakin i can't.....
kuna mwanamke mmoja alikuta condom kwenywe mfuko wa suruali ya mmewe badala ya kumuulizia huko huko chumbani akabeba condoms zake na kwenda nje analia baba fulani ndo nini hiki yaani unataka kuniua huku kaning'iniza hiyo zana majirani kuanza kujaa tele ..mme alichofanya alimvutia ndani na kuanza kumpa kipigo cha mbwa mwizi.. Bila ya kutoa maelezo ya condoms
mie nilicheka sana na kujiuliza condoms kakuta ndani akiwa chumbani nini kilimtuma kutoka nje na kuanza kupiga mayowe?
Akina Mama jamani, hata mkiwa chumbani sometimes ukipigiwa simu tu ya ofisini na mfanyakazi mwenzio wa ofisi akiwa wa kike ni nongwa oooh kwa nini akupigie wewe tu? km ni boss wako utafanyeje? basi hapo kelele tuu mwanamke wako huyooo, mara oooh mnajuana kuweni na simile basi tusikilizeni kwanza