nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Tatizo unakuja ule usemi wa hatuwezi wote kuwa sawa,we unapenda kusali...mwenzako anakuwa mnafiki na anamambo yakeSolution ni kumuhusisha mungu katika mahusiano yetu! Hata tufanye nn hakuna mahusiano yenye furaha na kudumu pia kama hayapo na mungu.....wapenzi wanatakiwa hata kwa mwezi kusali/kuswali mara moja pamoja!.... Tutaheshimiana na kupendana pia
Nimeona muda watu wamekaa ila imefika hata 40yrs wanaachana,inamaana hawa watu walikuwa wanatamaniana muda wote au mmoja wao ameingiwa na tamaaMoyo wa binadamu ni kiza kinene...
Kuwa mvumilivu kwa kila jambo,ingawa kuna kikomo cha uvumilivu... Ukiona unamchoka mtu, hukumpenda bali ulimtamani...
Cc: mahondaw
Yaani mimi hicho kitu ndio sipendi...labda mimi ndio niwage nachukua,imenifanya nipoteze moody ya mahusiano...nina muda kweli sijawepo kwenye mahusiano,naona kama kila kitu upuuuzKama nimekulewa hutaki mtu akuchukulie au hutaki tuchukuliane kisela?
Tatizo unakuja ule usemi wa hatuwezi wote kuwa sawa,we unapenda kusali...mwenzako anakuwa mnafiki na anamambo yake
by emma mjasiriamali
Pole sana, inawezekana aina za watu wanaokuvutia sio sahihi kwako.Yaani mimi hicho kitu ndio sipendi...labda mimi ndio niwage nachukua,imenifanya nipoteze moody ya mahusiano...nina muda kweli sijawepo kwenye mahusiano,naona kama kila kitu upuuuz
by emma mjasiriamali
Yaani nilikuwa na kamanzi hata sio kasaliti mkuu,na hata maombi unaona kanasema Mungu ibariki familia yangu....khaaa sijui hata kamefanyeje tena,kapo hukoo hata sijui kanafanyeje....ndio inanipa mashaka huyu Mungu yupi alikuwa anamuambia shida zake...ndugu zake wamekapa sound kameingia ujingaNi kweli mkuu sema ni kumuomba mungu akupe jicho la tatu kumpata mcha mungu ambae anaweza hata kutenga dkk tano kumuombea mwenzawake na ambae hatokuwa na unafiki
Pengine na hilo...shida unajuaje huyu ni sahihi kwako,na kama sio sahihi mtadumu kwa muda gani.....angalau ningejua hivyo ningekuwa hata sijisumbui....saiv sitasema nasubir right person,maana wanasema right is right and left is wrong kwahiyo bora kuwa katikatiPole sana, inawezekana aina za watu wanaokuvutia sio sahihi kwako.
Dah...hicho kikomo pia kimetofautiana,mwingine siku tatu tu ndio inakuwa kikomo na unakuwa umefanya kitu sahihi...ila kuna wengine kikomo kinakua kama milele...second chance hata hazihesabiki.....Moyo wa binadamu ni kiza kinene...
Kuwa mvumilivu kwa kila jambo,ingawa kuna kikomo cha uvumilivu... Ukiona unamchoka mtu, hukumpenda bali ulimtamani...
Cc: mahondaw
Yaani nilikuwa na kamanzi hata sio kasaliti mkuu,na hata maombi unaona kanasema Mungu ibariki familia yangu....khaaa sijui hata kamefanyeje tena,kapo hukoo hata sijui kanafanyeje....ndio inanipa mashaka huyu Mungu yupi alikuwa anamuambia shida zake...ndugu zake wamekapa sound kameingia ujinga
by emma mjasiriamali
Sijui naanzaje kukushauri, binadamu tuna tofautiana sana. ...matakwa yako si yangu, cha muhimu jiweke wazi tokea mwanzo. Ikibidi kila mtu aweke sera zake mezani muone kama mnaweza kutengeneza chakula kikaliwa.Pengine na hilo...shida unajuaje huyu ni sahihi kwako,na kama sio sahihi mtadumu kwa muda gani.....angalau ningejua hivyo ningekuwa hata sijisumbui....saiv sitasema nasubir right person,maana wanasema right is right and left is wrong kwahiyo bora kuwa katikati
by emma mjasiriamali
Na kweli...kusubiri mwanamke ni kama kuitegemea hela ya kuokota,anytime usiyoitegemea....nakuelewa mkuuDuh pole sana mkuu huyo hakua chaguo lako, chaguo lako linakuja mkuu....! Halafu ni vema mapenzi au mahusiano yakutafute sio uyatafute ww ....Hua inasumbua sana tatizo hawa mama zetu hata awe na title gani kuna vitu anakuwa anavimiss sijui huwa kwann ni dhaifu sana na wengi huwa wanaishi kwa kushikiwa akili na either rafiki zao au ndugu zao hivo ni kuishi nao kwa akili saaana
Halafu binadamu mkiweka kika kitu meZani mwenzako anazidisha chumvi.....unagundua mwanzo chumvi inakuwa kawaida ila kuendelea inakuwa kali unashindwa kuelewa hii maana yake nini....ukweli ni adimu sana kwenye dunia ya sasa...binafsi mimi sioendi longo longo...yaan hapo natingana na wengi,tunaweza tukajenga ghorofa hata tukiwa low ya tatu nikikuta tofari bovu nabomoa ghorofa zima....sijui nalo tatizo,ila huwa nawaonya,sipendi uswahili na watu ndio hawawez kuacha uswahili...na mimi siwezi kufake maisha eti mvumilie siwez..Sijui naanzaje kukushauri, binadamu tuna tofautiana sana. ...matakwa yako si yangu, cha muhimu jiweke wazi tokea mwanzo. Ikibidi kila mtu aweke sera zake mezani muone kama mnaweza kutengeneza chakula kikaliwa.