Mapenzi na under 30 yamenifika haya

Aisee umepata wife material watu mnabahati sana
Nimegundua kitu Mkuu.

Mwanamke yoyote (asilimia kubwa) atakuja kuendeleza tabia/yale anayo kuta kwako...

The better you Smart, the best she react..

Nimekuwa mwepesi sana kwenda nae sambamba, vipo vitabia tumefanana..

Tofauti na mikwaruzano katika mahusiano mengi, yanasababishwa na kutofautiana tabia/mitazamo.
 
Ooh!!tabia za wanyama wengine hazitofautiani na za binadamu!All male creatures are polygamist!!!
 
kwa jambo hilo tu ndio limekufanya umuone wa hovyo?
umesahau unakula chakula chao,
anafua nguo zako,
anakuja gheto kwako daily,
kakuletea mpk na mifugo ila ulivyo huna kaba mpk umemfungulia uzi, lol,

Nipe namba yake niongee nae huenda akanisikiliza.
 
***** Hayo Majogoo Angekuta Limebaki Moja Tu. Hao ******* Usipowala Au Kuwauza Kuna Atakaeenda Kufuata Papuchi Atapotelea Hukohuko,Kuna Watakaodundwa Na Mbabe Wakimbie Kipondo Wasirudi. Chagua Mbabe Abakie Apande Majike Wote. Ila Hapo Ni Mwendo Wa "DONT MESS WITH MY BITCH,I WILL KILL EVERYONE HERE"
Uyo Dada [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
kwa jambo hilo tu ndio limekufanya umuone wa hovyo?
umesahau unakula chakula chao,
anafua nguo zako,
anakuja gheto kwako daily,
kakuletea mpk na mifugo ila ulivyo huna kaba mpk umemfungulia uzi, lol,

Nipe namba yake niongee nae huenda akanisikiliza.
Ushauri/maelekezo mliyo nipatia, imebidi nimuoneshe POST zenu Wadau, na hiyo kidogo ndio imemfanya alegee.

Tunakwenda kurudisha baadhi kesho, na habari njema, ni kuwa ameuziwa bei moja.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…