Niko tu hapa jaman tunapishananataka nione comments yako hapo
ulipotea wapi jmn
upande upi huo 🤷Niko tu hapa jaman tunapishana
Tu huku kwenye nyuz nyuz tu
Na huko upande wa pili cjui kuna
Kufuli[emoji134][emoji134]
stidy
😅😅mwaah😘💋Hee hee Niki's kidogo
stidy
[emoji24][emoji7][emoji7][emoji16][emoji16]mpaka moyo umevaibret[emoji28][emoji28]mwaah[emoji8][emoji182]
Jaribu Tena tuone😉Ule wa wawili[emoji87][emoji87]
stidy
😅😅[emoji24][emoji7][emoji7][emoji16][emoji16]mpaka moyo umevaibret
stidy
Sio Marioooo huyo...!Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili mkubwa, nikisimama naye mkubwa yeye kingine nina hofu na familia yake wako wawili tu.
Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu
nimecheka sana,from what i know kenge hana hata center bolt achilia mbali break😂
[emoji419][emoji419][emoji419]24?! Anajua kua una mtt a akaubali?!
Kama anaonesha nia ya dhati mkubali mambo ya kwao kua wa2 ww hayatakiwi kukuhusu bali yeye na mahaba yake ndo vikuhusu
Mi ndio kenge mkuu ....vp unaonaje hiki kifaa, nichomoke nacho?nimecheka sana,from what i know kenge hana hata center bolt achilia mbali break[emoji23]