kwani we unaonaje? Maana hayo ni masuala yenu binafsi, inaweza kuwa sahihi au hisiwe kutokana na ukaribu na muitikio wa mpenzi wako ktk suala la maendeleo yenu!! Kwa mimi naona sahihi kufanya kwa mpenzi wangu, maana anaonekana ana uchu na maendeleo!
Kweli tunatofautiana unaulizia milioni 1 na waliofunguliwa makampuni na sio mke? Any way nakushauri kama huma mawazo na icho kisenti mpe afungue kibanda cha chipsi inaweza kufaa.
Hivi ni sahihi kumfungulia bihashara mpenz wako ambae bado hamjaoana?
Na kama ni sahihi unafikiri kwa mtaji wa sh. milioni moja unaeza kumfungulia bihashara gani?
Samahan kwa kulileta huku maana nimeona linahusiana na mapenzi na uhusiano pia huku kuna watu active sana.:screwy:ππππππ
Ahsanteni na asubuhi njema.
Kweli tunatofautiana unaulizia milioni 1 na waliofunguliwa makampuni na sio mke? Any way nakushauri kama huma mawazo na icho kisenti mpe afungue kibanda cha chipsi inaweza kufaa.