Je, wapendwa mnajua kuwa wanaume zenu au wapendwa zenu wanapenda nyie kwa moyo? Au mpompo tu mwa shangaa?
Je, unaaminije kuwa huyu niliyenaye alinioa kwa mapenzi au kwa maana na kitu fulani au huyu yupo kwenye mahusiano kisa nina kitu fulani?
Najaribu kuandika kiswahili wajameni.