Mapenzi na pombe

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Mpo?

Night out yao ilikuwa baa, Kinywaji chake bia, huku mke wake akijiburudisha na soda. Mara akaanza kuchanganyia mke na pombe kidogo. Yaani pombe kidogo, soda kidogo. Mwishowe ikawa pombe kavu.

Alikuwa anampigia simu wakutane baa baada ya kazi. Mmoja wao akitangulia anamsubiri mwenzie. Sasa mke amezowea kwenda baa peke yake. Alikuwa na kazi zuri, Pesa chekwa chekwa, Sasa amefutwa kazi, Mke wake amezoea bia.

Anaenda baa kununuliwa na marafiki wa mume wake. Wakati mwingine anakesha baa. Mume ana fununu mke anagegedwa na marafiki zake.

Afanyeje?
 
Mmmh wakae waongee wayamalize mana kugongewa ni soo afu na best
 
Sasa afanyeje...?akubali hali halisi....done...avune matunda
 
Ye akae home tu na kujipongeza kwamba mwanafunzi wake anaendelea vizuri na masomo
 
kwa kuwa yeye ndiye aliyemfundisha....sasa basi ili mke aache inabidi yeye kwanza aache ili awe mfano mzuri kwa mwanafunzi wake(mke)
 
nipe namba ya huyo mdada nimfanyie maombi
 
...kama hauna kitu usilete upambe!
..usije ukagongewa mke kisa ofa za gambe!
#R.I.P Ngwear!
 
Itabidi akubali kwanza kuvuna alichokipanda. Then ajifunze kupitia hilo kosa n finally amsaidie mke wake aache au apunguze unywaji na anywee nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…