PEASANT BOY
Member
- Jul 24, 2014
- 53
- 0
Ni kweli kwamba wataalam wamefanya tafiti na kubaini kwamba wanaume wakiwa manene na kitambi uwezo wa kimapenzi hushuka sana?
Naona Baba kasahau simu sebleni...
Naona Baba kasahau simu sebleni...
Wenye vitambi watujibu jamani.
Mkuu unamfahamu vipi huyo dada? Nipe jina lake na jinsi unavyomfahamu Mkuu.
Hapana mkuu. Umemfananisha.