Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha eti keusii
 
Inaonekana bado unampenda mana sio kwa kumfuatilia huko! Yaani mpaka mambo yake binafsi ya kisiasa unayajua. Baada ya kuachana mara kageuka mbilikimo!!!
 
unajitahidi kwa uandishi huwa sipendi kusoma mavitu marefu lakin hii nimemaliza na hata ingekuwa zaidi ningesoma pia
 
Nilikua nayo na Hadi leo tumeoana tuna six yrs in marriage, kwa kweli namshukuru Mungu naweza kusema Ni happy marriage compared kwa ninayoyasikia huku
 
We jamaa kaandike novel
 
Inaonekana bado unampenda mana sio kwa kumfuatilia huko! Yaani mpaka mambo yake binafsi ya kisiasa unayajua. Baada ya kuachana mara kageuka mbilikimo!!!
Cyo kumpenda, mtu akifanya siasa lazima ajulikane tu hasa mkiwa hamko mbali.
 
uliwezaje mkuu
maamuzi tuu mkuu + focus
na sio kwamba sijitoshelezi,nipo vizuri.
...na kila kitu unachokifahamu/sifa zote ninazo,na itoshe kusema tuu huwa nasumbuliwa sana tangu secondary mpaka muda huu(sijisifii)nikiamua jambo la muda tuu nimpate shem tuanze maisha
ila nimejikuta sipendi mahusiano.

ni hivyo tuu
 
Nimeipenda sana hii
 
sidhani kama kuna aliemaliza chuo bila kujiingiza kwenye mahusiano.
Mkuu hatari sana, mimi chuoni nilikuwa mdogo na Baba alinikataza kabisa nisijihusishe na Mapenzi japo flora alinipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…