Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

laiti kama huu uzi ungekaa na kuuandika vzr mtoa mada, bas huu uzi ungweza kufikisha coment kama za rickboy "ulishawah kula tunda kimasiara"
naunga mkono hoja.
 
Reactions: _ly
Hadithia tu hata zile za vichakani..!
Ukimaliza unavaa harakaharaka baadae ukija kuvua kwenye Pichu unakuta majani mpk ya kisamvu..😂
Hapo unasema the show was amazing..😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kifala sana
 
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa bado nina mapenzi mazito na binti nilomuacha kitaa enzi hizo....kuingia mwaka wa pili ndo nikaanza kuoa oa hapo chuoni....karibia kila semester nilikuwa naishi na demu mpya gheto kwangu....mabinti wa Diploma na certificate wanapenda sana mteremko chuo wakijua uko unasoma Bachelor.... Tulikuwa tunabadilishana sana mademu na masela yaaani...mpaka nawaza binti yangu itakuwaje akienda chuo dah
 
mkuu unawaza kama mimi bt akishafika chuo huyo kashakua hata wamchakate sawa tu.
 
laiti kama huu uzi ungekaa na kuuandika vzr mtoa mada, bas huu uzi ungweza kufikisha coment kama za rickboy "ulishawah kula tunda kimasiara"
Niambie niandikeje nita edit tu
 
Malipo hapa hapa duniani nyoko wee..Binti yako tunamsubiri kwa hamu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…