kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Ukiwa na mipango yako ya maisha ambayo unataka kuzitimiza, nakushauri kijana achana na mapenzi weka umakini kwa kile unachokipanga tu, utanishukuru.
Ukichanganya vyote viwili kwa pamoja ni lazima mapenzi yatashinda, halafu mwisho msongo wa mawazo utakupiga mpaka unapanga mpango mwingine wa kujiua tu.
Mapenzi yanaomba utayari siyo, kitu cha kwenda kichwa kichwa tu, tutakusau sasa hivi!