Du, mbona majibu makali namna hii?. Inaonekana si wapenzi wa mpira nyie, fuatilieni jukwaa la michezo muone watu wakifungwa wanakuwaje. Sasa kama hapa watu hatujuani tu ni hivi unafikiri n'mbani inakuwaje, cha msingi tumshauri achukulie mpira kama burudani na si vita kwamba lazima ashinde. Awaangalie hata wachezaji timu yake, wanafungwa lakini wanapeana mikono na kukumbatiana na wapinzani wao.