Mapenzi na dini

Apo amna ndoa chamuhimu kila mmoja atafte mwenye dini yake maisha yaendeleee.... Na yule ashura kwa namna nnavyomjua hawez kubadil dini... Mwl ana maadil yadini sana yule
 
uzuri sisi wanaume ndo tunaopropose, mwanamke hata kutongaza hawezi, Ashura ndo yupo kwenye upande wa kupoteza zaidi.
nilizungumza na ashura akasema Yupo Tayari kubadili dini lakn tatizo baba yake anasema Kama niivyo ndoa iahilishwe
 
asante kwa ushauri mzur
 

Kama unamtaka kweli mwanamke, badili dini. Haupungukiwi kitu. Mambo ya kizaman kusema lazima mwanamke abadili dini. Mwanaume wa kweli hawezi kukiachia kile anachokitaka kama kweli ndo unachokitaka. Wewe ndo mwanaume, rahisi wazazi wako kukuelewa maana ndo mwenye say ya mwisho, ila kwa mwanamke ngumu kueleweka, hana say, hawana nguvu kujitetea.
Badili, au tafuta wa dini yako, ila usifunge ndoa kwenye dini tofauti, mtapoteza watoto.
 
Kama mnapendana itakuaje lkn mapenz sio dn ni moyo wa mtu jtaidn wazaz wataona hurma mtaoana na inabd mwanamke akfate maana yy ni msaidz wako
 
nadhani kikubwa hapo ni binti kuamua kufanya maamuzi magumu kuhamia upande wako, kama kweli anakupenda dini si kigezo what matter ni nanmna gani mtaweza ishi kwa furaha na amani. kama akigoma kubadili dini kurtakuwa hakuna namna nyingine zaid, inapendeza zaidi wote mkiwa kwenye imani moja itakuwa rahisi hata kuwakuza watoto katika njia iliyonyooka.
 
Binti anatakiwa akusikilize ww na Abadili dini.. Kama kweli anakupenda. Mumueleweshe Babake binti kama hataki.. Binti inabidi afuate uamuzi wako coz wewe ndio Unamuoa na Sio Babake.. Akishindwa Muache tafuta wa Dini yako. Ni Mbaya sana kuoana na kila mmoja akawa na dini yako.
 

Ushauri mzur saana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…