agrey nziku
Member
- Jan 10, 2015
- 12
- 1
Amueni watto wafuate dini ipi
halafu nyinyi kila mtu abaki na dini yake
oaneni wilayani
achana na huyo binti,,, tafuta wa dini yako........ hapo lazima mmoja akubali kumfuata mwenzie
hawa wanaonekana hakuna aliyetayar ,,, suluhuu ni kuachana tu hapohakuna mbadala wa hilo, lazima mmoja akubali kukaa.
Amueni watto wafuate dini ipi
halafu nyinyi kila mtu abaki na dini yake
oaneni wilayani
hawa wanaonekana hakuna aliyetayar ,,, suluhuu ni kuachana tu hapo
Achana na huyo binti,,, tafuta wa dini yako........ hapo lazima mmoja akubali kumfuata mwenzie
mshacha duh hapo sasa mmoja ajifanye kafa kaoza mmh ila mi sitaweza kujibadili aiseeMshiki kma mtu anakupenda atabadili dini.....ukiona kashindwa badili dini jua hpo hamna mapenzi ni usanii tupu
unategemea ashura ajitoe akili kuwa kapenda sana ... mmh akuulakini nijuavyo mimi mwanamke hana dini, kwa hiyo hapa Ashura ndo hayupo tayari.
mshacha duh hapo sasa mmoja ajifanye kafa kaoza mmh ila mi sitaweza kujibadili aisee
ndiyo ukweli wenyeweDini anabadili mwanamke mana wanaume tunaoa.....ukiona mwanaume kabadili jua kaolewa huyo
unategemea ashura ajitoe akili kuwa kapenda sana ... mmh akuu
duh waachane tuuzuri sisi wanaume ndo tunaopropose, mwanamke hata kutongaza hawezi, Ashura ndo yupo kwenye upande wa kupoteza zaidi.