Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda Mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Pasipo mawasiliano huwa hakuna mapenzi ya dhati:Bila heshima hakuna mapenzi ya dhati na kama hakuna uaminifu haina haja ya kuwa kwenye mahusiano.Tujifunze kuitafuta busara na hekima ndio tuanze kutafuta mapenzi ya dhati.
Wengi tunaanza kutafuta pesa ,kisha kwa kuwa tumepata pesa ndio tunaanza kutafuta mapenzi ya dhati hili ni kosa sababu kuna wenye pesa na hawana furaha kwenye ndoa zao na kuna wenye hekima na busara bila pesa na wanafuraha na amani kwenye ndoa zao.
Busara na hekima ni bora kuliko pesa,na mwanaume muaminifu na mwenye mapenzi ya dhati na mkweli ni bora kuliko mwanaume mwenye pesa, muongo na maarufu asiye mkweli asiye na mapenzi ya dhati
Bado wanawake wenye sifa za kuwa mke mwema na mama bora huwa ni washamba kwa muonekano kwa mavazi ya kusitiri mauongo yao mbele zatu na kwenye social media wanajua kubehave kwa kila jambo sababu ya hekima na busara zao.
Kwenye social media wanawake wengi walio olewa wameficha uzuri wao,haiba yao na utashi wao kwa ajili ya waume zao . Wanawake wengi ambao hawajaolewa ndio hutumia muda mwingi sana kuonyesha maungo yao,sura zao na mavazi yao kwenye social media .
Kwa bahati nzuri wanawake wanaopenda kupost sura zao ,maungo yao ,swagger zao wanaambulia likes za followers na miaka inazidi kusogea bila ndoa wala kuchumbiwa sababu uzuri wa mwanamke huwa hauoneshwi hadharani wala kwenye social media.
Si kila mwenye macho anaweza kutizama vyema na si kila mwenye masikio anaweza kusikia vyema. Good relationships don’t just happen, it takes time and patience. Communication is the best keyword.
️
️
[HASHTAG]#MapenziNaBusara[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app