Mapenzi mitandaoni

Mapenzi mitandaoni

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
196
Jf people how are you?
Wanaume siku zote na wanawake hakuna asiyependa mapenzi.
Kwa hiyo hutafuta wamiliki wa mioyo yao.
Ila kuhusu mitandao woi sioni kama ni sehemu sahihi kumpata mwenza wako.
So kwa wanaoamini anzeni kutafuta kwingine.
Au njia nyingine ya kufanikisha kusudio lako ila msipende mitandao.
Ni hatarishi na sio sehemu salama.
Chochote kitaweza kutokea nahakuna wakumlaumu.
Kazi njema wote.
 
Huko kwingine ni salama? chochote hakiwezi kutokea? waliopo huko kwingine ndio hao hao waliopo mitandaoni,mitandaoni haina maana ya kua ni dunia nyingine.
 
Back
Top Bottom